Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Desemba uku. 6
  • Desemba 24-30

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 24-30
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Desemba uku. 6

Desemba 24-30

MATENDO 17-18

  • Wimbo 78 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mwige Mtume Paulo Unapohubiri na Kufundisha”: (Dak. 10)

    • Mdo 17:2, 3—Paulo alijadiliana kwa kutumia Maandiko na alitumia marejeo alipofundisha (“akajadiliana” habari za utafiti Mdo 17:2, nwtsty; “akitumia Maandiko” habari za utafiti Mdo 17:3, nwtsty)

    • Mdo 17:17—Paulo alihubiri popote alipowakuta watu (“sokoni” habari za utafiti Mdo 17:17, nwtsty)

    • Mdo 17:22, 23—Paulo alikuwa macho na alianzisha mazungumzo kwa kutegemea mambo aliyokubaliana na wasikilizaji wake (“Kwa Mungu Asiyejulikana” habari za utafiti Mdo 17:23, nwtsty)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mdo 18:18—Tunaweza kusema nini kuhusu nadhiri ambayo Paulo aliweka? (w08 5/15 32 ¶5)

    • Mdo 18:21—Tunaweza kumwigaje Paulo tunapofuatilia miradi ya kiroho? (“Yehova akipenda” habari za utafiti Mdo 18:21, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mdo 17:1-15

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia? kisha uizungumzie (lakini usionyeshe video).

  • Ziara ya Kurudia ya Tatu: (Isizidi dak. 3) Chagua andiko lako mwenyewe, na utoe chapisho la funzo.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) jl somo 7

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 70

  • Hubiri na Ufundishe Habari Njema Kikamili: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Ibada ya Familia: Paulo—Alihubiri Habari Njema Kikamili. Kisha uliza maswali yafuatayo: Familia iliyoonyeshwa kwenye video ilitambuaje kwamba ilihitaji kuboresha huduma yao? Waliiga mambo gani katika huduma ya mtume Paulo? Walipofanya hivyo walipata baraka zipi? Ni mambo gani unayoweza kutumia wakati wa ibada ya familia?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 47

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 151 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki