Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Desemba uku. 7
  • Desemba 31, 2018–Januari 6, 2019

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 31, 2018–Januari 6, 2019
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Desemba uku. 7

Desemba 31, 2018–Januari 6, 2019

MATENDO 19-20

  • Wimbo 103 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jiangalieni Wenyewe na Kundi Lote”: (Dak. 10)

    • Mdo 20:28—Wazee hulichunga kutaniko (w11 6/15 20-21 ¶5)

    • Mdo 20:31—Wazee hutoa msaada “usiku na mchana” kulingana na uhitaji (w13 1/15 31 ¶15)

    • Mdo 20:35—Wazee lazima wawe na roho ya kujidhabihu (bt 172 ¶20)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mdo 19:9—Mtume Paulo aliwekaje kielelezo cha kuwa na bidii na kubadilika kulingana na hali? (bt 161 ¶11)

    • Mdo 19:19—Waefeso waliwekaje kielelezo kinachostahili kuigwa? (bt 162-163 ¶15)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mdo 19:1-20

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mpe mwenye nyumba kadi ya mawasiliano ya JW.ORG.

  • Ziara ya Kurudia ya Tatu: (Isizidi dak. 3) Chagua andiko na swali la kuweka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) jl somo 15

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 99

  • Wazoeze Vijana Wanaojaribu Kufikia Mapendeleo: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha mjibu maswali yafuatayo: Wazee hutimiza sehemu gani muhimu katika kutaniko? (Mdo 20:28) Kwa nini wazee wanapaswa kuendelea kuwazoeza wengine? Wazee wanaweza kuigaje mfano wa Yesu wa kuwazoeza mitume wake? Akina ndugu wanapaswa kuwa na mtazamo gani wanapozoezwa? (Mdo 20:35; 1Ti 3:1) Wazee wanaweza kuwapa mazoezi gani yanayofaa? Wazee wanapaswa kuwa na maoni gani yenye usawaziko kuelekea wale wanaowazoeza?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 48

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 118 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki