Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Januari uku. 6
  • Januari 28–Februari 3

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 28–Februari 3
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Januari uku. 6

Januari 28–Februari 3

MATENDO 27-28

  • Wimbo 129 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Paulo Anasafiri Kwenda Roma”: (Dak. 10)

    • Mdo 27:23, 24—Malaika alimwambia Paulo kwamba wote waliosafiri naye kwenye meli wangeokoka dhoruba (bt 208 ¶15)

    • Mdo 28:1, 2—Meli iliyombeba Paulo ilivunjika kwenye kisiwa cha Malta (bt 209 ¶18; 210 ¶21)

    • Mdo 28:16, 17—Paulo aliwasili Roma akiwa salama (bt 213 ¶10)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mdo 27:9—“Kipindi cha kufunga kwa Siku ya Kufunika Dhambi” kilikuwa nini? (“kufunga kwa Siku ya Kufunika Dhambi” habari za utafiti Mdo 27:9, nwtsty)

    • Mdo 28:11—Kwa mstari huu kutaja kuhusu sanamu iliyokuwa mbele ya meli hiyo kunathibitisha nini? (“Wana wa Zeu” habari za utafiti Mdo 28:11, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mdo 27:1-12 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 2)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) lvs 165-166 ¶16-17 (th somo la 3)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 103

  • “Paulo Alimshukuru Mungu na Kujipa Moyo”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa “Chuma Hunoa Chuma”—Kisehemu. Watie moyo wote watazame video hiyo yote.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 52

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 93 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki