Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Februari uku. 2
  • Februari 4-10

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 4-10
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Februari uku. 2

Februari 4-10

WAROMA 1-3

  • Wimbo 88 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Endelea Kuizoeza Dhamiri Yako”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Waroma.]

    • Ro 2:14, 15—Kila mtu ana dhamiri (lvs 18 ¶6)a

    • Ro 2:15—Tunapaswa kuizoeza dhamiri ili ituongoze kwa njia inayofaa (lvs 19-20 ¶8-9)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ro 3:4—Tunawezaje kufanya ‘Mungu aonekane kuwa wa kweli’? (w08 6/15 30 ¶5)

    • Ro 3:24, 25—“Fidia ambayo Kristo Yesu alilipa” ingefunikaje “dhambi zilizofanywa wakati uliopita”? (w08 6/15 29 ¶6)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ro 1:1-17 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Kutoa Hotuba kwa Njia ya Maongezi, kisha mzungumzie somo la 2 la broshua Kufundisha.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) w06 6/1 12-13—Kichwa: Dumisha Maoni Yanayofaa Kuhusu Udhaifu Wako na wa Wengine. (th somo la 7)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 6

  • “Je, Unatambua Sifa za Mungu Zisizoonekana?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Maajabu ya Uumbaji Yanafunua Utukufu wa Mungu—Nuru na Rangi.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 53

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 142 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: lvs = Jinsi ya Kudumu Katika Upendo wa Mungu; w = Mnara wa Mlinzi; jy= Yesu - Njia, Kweli, na Uzima; it = Insight on the Scriptures.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki