Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Machi uku. 3
  • Machi 11-17

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 11-17
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Machi uku. 3

Machi 11-17

WAROMA 15-16

  • Wimbo 33 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mtegemee Yehova Ili Uvumilie na Kupata Faraja”: (Dak. 10)

    • Ro 15:4—Soma Neno la Mungu ili upate faraja (w17.07 14 ¶11)

    • Ro 15:5—Mwombe Yehova akupe “uvumilivu na faraja” (w16.04 14 ¶5)

    • Ro 15:13—Yehova anatupa tumaini (w14 6/15 14 ¶11)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ro 15:27—Wakristo wasio Wayahudi walikuwaje “wadeni” kwa Wakristo jijini Yerusalemu? (w89 12/1 24 ¶3)

    • Ro 16:25—Ni nini ile “siri takatifu ambayo ilikuwa imefichwa tangu nyakati za zamani”? (it-1 858 ¶5)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ro 15:1-16 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 10)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 11)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 129

  • Jinsi Ambavyo Yehova ‘Hutoa Nguvu za Kuvumilia na Faraja’: (Dak. 15) Onyesha video. Kisha mzungumzie maswali yafuatayo:

    • Umejifunza masomo gani kuhusu kufarijiwa?

    • Umejifunza masomo gani mengine kuhusu kutoa faraja?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 58

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 34 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki