Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Machi uku. 4
  • Machi 18-24

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 18-24
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Machi uku. 4

Machi 18-24

1 WAKORINTHO 1-3

  • Wimbo 127 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Je, Wewe Ni Mtu wa Kimwili au Mtu wa Kiroho?”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video Utangulizi wa 1 Wakorintho.]

    • 1Ko 2:14—Inamaanisha nini kuwa “mtu wa kimwili”? (w18.02 19 ¶4-5)

    • 1Ko 2:15, 16—Inamaanisha nini kuwa “mtu wa kiroho”? (w18.02 19 ¶6; 22 ¶15)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • 1Ko 1:20—Mungu amefanyaje “hekima ya ulimwengu iwe upumbavu”? (it-2 1193 ¶1)

    • 1Ko 2:3-5—Mfano wa Paulo unaweza kutusaidiaje? (w08 7/15 27 ¶6)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 1Ko 1:1-17 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa utangulizi wa kitabu Biblia Inatufundisha. (th somo la 11)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 18

  • “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Kuandika Barua Vizuri”: (Dak. 8) Mazungumzo.

  • Kampeni ya Ukumbusho Itaanza Jumamosi, Machi 23: (Dak. 7) Mazungumzo yakiongozwa na mwangalizi wa utumishi. Mpe kila mtu nakala ya mwaliko na mzungumzie yaliyomo. Onyesha video ya mapendekezo, kisha zungumzeni kuihusu. Eleza mipango ya kutaniko lenu ya kumaliza eneo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 59

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 51 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki