Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Machi uku. 6
  • Machi 25-31

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 25-31
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Machi uku. 6

Machi 25-31

1 WAKORINTHO 4-6

  • Wimbo 123 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Chachu Kidogo Huchachisha Donge Lote”: (Dak. 10)

    • 1Ko 5:1, 2—Kutaniko la Korintho lilikuwa likimvumilia mkosaji asiyetubu

    • 1Ko 5:5-8, 13—Paulo aliliambia kutaniko liondoe “chachu” iliyokuwepo miongoni mwao kwa kumkabidhi mkosaji huyo kwa Shetani (it-2 230, 869-870)

    • 1Ko 5:9-11—Kutaniko halipaswi kushirikiana na wakosaji wasiotubu (lvs 241, maelezo ya ziada “Kutengwa na Ushirika”)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • 1Ko 4:9—Watumishi wa Mungu duniani ni “tamasha” kwa malaika katika njia gani? (w09 5/15 24 ¶16)

    • 1Ko 6:3—Paulo alikuwa akirejelea nini alipoandika: “Tutawahukumu malaika”? (it-2 211)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 1Ko 6:1-14 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 11)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) lvs 44 (th somo la 3)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 78

  • “Tumia Video Kuwafundisha Wanafunzi Wako wa Biblia”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video ya mhubiri akitumia video kwenye somo la 4 la broshua Habari Njema kumfundisha mwanafunzi wa Biblia, kisha mzungumze kuihusu.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 60

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 23 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki