Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Aprili uku. 6
  • Aprili 22-28

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 22-28
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Aprili uku. 6

Aprili 22-28

1 WAKORINTHO 14-16

  • Wimbo 22 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mungu ‘Atakuwa Vitu Vyote kwa Kila Mtu’”: (Dak. 10)

    • 1Ko 15:24, 25—Ufalme wa Kimasihi utaangamiza maadui wote wa Mungu (w98 7/1 21 ¶10)

    • 1Ko 15:26—Kifo kitaangamizwa (kr 237 ¶21)

    • 1Ko 15:27, 28—Kristo atamrudishia Yehova Ufalme (w12 9/15 12 ¶17)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • 1Ko 14:34, 35—Je, mtume Paulo aliwakataza wanawake kuzungumza? (w12 9/1 9, sanduku)

    • 1Ko 15:53—Ni nini maana ya kutoweza kufa na kutoweza kuharibika? (it-1 1197-1198; w09 2/15 25 ¶6)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 1Ko 14:20-40 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? (lakini usiionyeshe) (th somo la 9)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 69

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 63

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 103 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki