Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Aprili uku. 7
  • Aprili 29–Mei 5

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 29–Mei 5
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Aprili uku. 7

Aprili 29–Mei 5

2 WAKORINTHO 1-3

  • Wimbo 44 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova—‘Mungu wa Faraja Yote’”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa 2 Wakorintho.]

    • 2Ko 1:3—Yehova ni “Baba wa rehema nyororo” (w17.07 13 ¶4)

    • 2Ko 1:4—Tunawafariji wengine kwa faraja ambayo Yehova huandaa (w17.07 15 ¶14)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • 2Ko 1:22—“Rehani” na “muhuri” ambao kila Mkristo mtiwa-mafuta anapokea kutoka kwa Mungu ni nini? (w16.04 32)

    • 2Ko 2:14-16—Huenda mtume Paulo alikuwa akirejelea nini alipozungumza kuhusu “maandamano ya ushindi”? (w10 8/1 23)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 2Ko 3:1-18 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 6)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) bhs 52-53 ¶3-4 (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 86

  • “Fuatia Elimu Kutoka kwa Mungu”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Tumetajirika Kiroho kwa Kufundishwa na Yehova.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 64

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 130 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki