Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Juni uku. 3
  • Juni 10-16

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 10-16
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Juni uku. 3

Juni 10-16

WAEFESO 1-3

  • Wimbo 112 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mpango wa Usimamizi wa Yehova na Kazi Yake”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Waefeso.]

    • Efe 1:8, 9—“Siri takatifu” inahusisha Ufalme wa Kimasihi (it-2 837 ¶4)

    • Efe 1:10—Yehova anawaunganisha viumbe wake wote wenye akili (w12 7/15 27-28 ¶3-4)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Efe 3:13—Ni katika maana gani dhiki za Paulo ‘zilimaanisha utukufu’ kwa Wakristo jijini Efeso? (w13 2/15 28 ¶15)

    • Efe 3:19—Tunaweza kufanya nini ili “kuujua upendo wa Kristo”? (cl 299 ¶21)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Efe 1:1-14 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwonyeshe chapisho kutoka kwenye Sanduku Letu la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 9)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 95

  • “Lifanye Funzo Lako la Kibinafsi Liwe Lenye Kuthawabisha”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Endelea “Kulishika Sana”—Kupitia Funzo la Kibinafsi Lenye Matokeo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 70

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 144 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki