Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Juni uku. 4
  • Juni 17-23

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 17-23
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Juni uku. 4

Juni 17-23

WAEFESO 4-6

  • Wimbo 71 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Vaeni Mavazi Kamili ya Silaha Kutoka kwa Mungu”: (Dak. 10)

    • Efe 6:11-13—Tunahitaji kulindwa dhidi ya Shetani na roho waovu (w18.05 27 ¶1)

    • Efe 6:14, 15—Jilinde kupitia kweli, uadilifu, na habari njema ya amani (w18.05 28-29 ¶4, 7, 10)

    • Efe 6:16, 17—Jilinde kupitia imani, tumaini la wokovu, na Neno la Mungu (w18.05 29-31 ¶13, 16, 20)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Efe 4:30—Mtu anawezaje kuihuzunisha roho takatifu ya Mungu? (it-1 1128 ¶3)

    • Efe 5:5—Kwa nini mtu mwenye pupa ni mwabudu sanamu? (it-1 1006 ¶2)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Efe 4:17-32 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 6)

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? kisha uizungumzie (lakini usionyeshe video). (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 135

  • “Yehova Angesemaje?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Endelea Kufahamu Mapenzi ya Yehova (Law 19:18).

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 71

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 34 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki