Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Juni uku. 6
  • Juni 24-30

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 24-30
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Juni uku. 6

Juni 24-30

WAFILIPI 1-4

  • Wimbo 33 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Msihangaike Kuhusiana na Jambo Lolote”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Wafilipi.]

    • Flp 4:6—Unapokuwa na wasiwasi, sali (w17.08 10 ¶10)

    • Flp 4:7—Iruhusu “amani ya Mungu” ikulinde (w17.08 10 ¶7; 12 ¶16)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Flp 2:17—Ni katika njia gani mtume Paulo alikuwa “[akimiminwa] kama toleo la kinywaji”? (it-2 528 ¶5; w11 10/15 6 ¶3-4)

    • Flp 3:11—“Ufufuo wa mapema” ni upi? (w07 1/1 26-27 ¶5)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Flp 4:10-23 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Usizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 4)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) fg somo la 6 ¶3-4 (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 45

  • Je, Vifaa Vyako Vinakudhibiti?: (Dak. 5) Onyesha video. Kisha mjibu maswali yafuatayo: Vifaa vya kielektroni vina faida gani? Kuwa mraibu wa kutumia vifaa vya kielektroni kunaweza kukuletea madhara gani? Unawezaje kugundua ikiwa una uraibu wa vifaa vya kielektroni? Unaweza kufanya mambo gani ili ‘kuhakikisha mambo muhimu zaidi’? (Flp 1:10)

  • “Chagua Burudani kwa Hekima”: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Nichague Burudani ya Aina Gani?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 72

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 76 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki