Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Julai uku. 2
  • Julai 1-7

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 1-7
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Julai uku. 2

Julai 1-7

WAKOLOSAI 1-4

  • Wimbo 56 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Uvueni Utu wa Zamani, na Mjivike Utu Mpya”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video ya Utangulizi wa Wakolosai.]

    • Kol 3:5-9—“Uvueni utu wa zamani” (w11 3/15 10 ¶12-13)a

    • Kol 3:10-14—“Mjivike utu mpya” (w13 9/15 21 ¶18-19)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Kol 1:13, 14—“Ufalme wa Mwana wake mpendwa” ni ufalme upi? (it-2 169 ¶3-5)

    • Kol 2:8—“Mambo ya msingi ya ulimwengu” ni mambo gani? (w08 8/15 28 ¶9)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Kol 1:1-20 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Kusema Mambo Sahihi na Yenye Kusadikisha, kisha mzungumzie somo la 7 la broshua Kufundisha.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) w04 5/1 19-20 ¶3-7—Kichwa: Wakristo Fulani Walikuwaje “Msaada wa [Kumtia] Nguvu” Paulo? (Kol 4:11, maelezo ya chini) (th somo la 7)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 17

  • Ripoti ya Halmashauri ya Ufundishaji ya 2018: (Dak. 15) Onyesha video. Kisha zungumzieni maswali yafuatayo: Kusafiri kumekuwaje sehemu muhimu ya utendaji wa tengenezo letu? Idara ya Usafiri ya Makao Makuu ya Ulimwenguni Pote inaokoaje michango yenye thamani kubwa? Wahubiri wanaweza kufanya nini ili kupunguza gharama za usafiri za tengenezo? Idara ya Usafiri ya Makao Makuu ya Ulimwenguni Pote inawasaidiaje wajumbe watakaosafiri kwa ajili ya makusanyiko ya kimataifa ya 2019?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 73

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 102 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: w = Mnara wa Mlinzi; it = Insight on the Scriptures; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; km = Huduma Yetu ya Ufalme; cl = Mkaribie Yehova; lvs = Jinsi ya Kudumu Katika Upendo wa Mungu; g = Amkeni!; mwb = Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha yetu ya Kikristo

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki