Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Julai uku. 6
  • Julai 29–Agosti 4

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 29–Agosti 4
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Julai uku. 6

Julai 29–Agosti 4

1 TIMOTHEO 4-6

  • Wimbo 80 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ujitoaji-Kimungu Una Faida Kuliko Utajiri”: (Dak. 10)

    • 1Ti 6:6-8—Thamani ya “ujitoaji-kimungu na kuridhika” (w03 6/1 9 ¶2)

    • 1Ti 6:9—Madhara ya kuazimia kuwa tajiri (g 6/07 6)

    • 1Ti 6:10—Maumivu ya kupenda pesa (g 11/08 6 ¶4-6)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • 1Ti 4:2—Mtu anaitiaje alama dhamiri yake, na kwa nini hilo ni hatari? (lvs 23-24 ¶17)

    • 1Ti 4:13—Kwa nini Paulo alimtia moyo Timotheo aendelee kujitahidi kusoma mbele ya watu? (it-2 714 ¶1-2)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 1Ti 4:1-16 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwalike mwenye-nyumba kwenye mkutano. (th somo la 11)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 4) lvs 207-209 ¶20-21 (th somo la 3)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) Kwa busara sitisha funzo la Biblia lisilo na maendeleo.—Ona mwb19.02 7. (th somo la 12)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 37

  • Madhara ya Kufuatia Vitu vya Kimwili: (Dak. 7) Onyesha video yenye kichwa Lazima Tukimbie kwa Uvumilivu”—Ondoa Mizigo Isiyo ya Lazima. Kisha zungumzieni masomo mliyojifunza.

  • “Ujitoaji-Kimungu Una Faida Kuliko Mazoezi ya Kimwili”: (Dak. 8) Mazungumzo. Onyesha video ya vibonzo kwenye ubao yenye kichwa Mambo Unayopaswa Kujua Kuhusu Michezo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 77

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 21 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki