Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Agosti uku. 2
  • Agosti 5-11

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 5-11
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Agosti uku. 2

Agosti 5-11

2 TIMOTHEO 1-4

  • Wimbo 150 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mungu Hakutupatia Roho ya Woga”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa 2 Timotheo.]

    • 2Ti 1:7—Kabiliana na majaribu kwa “utimamu wa akili” (w09 5/15 15 ¶9)a

    • 2Ti 1:8—Usiionee aibu habari njema (w03 3/1 9 ¶7)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • 2Ti 2:3, 4—Tunaweza kufanya nini ili tupunguze muda na nguvu tunazotumia “katika shughuli za kibiashara za maisha”? (w17.07 10 ¶13)

    • 2Ti 2:23—Ni katika njia gani tunaweza ‘kukataa mabishano ya kipumbavu na ya kijinga’? (w14 7/15 14 ¶10)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 2Ti 1:1-18 (th somo 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Mifano Inayofundisha, kisha mzungumzie somo la 8 la broshua Kufundisha.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) w14 7/15 13 ¶3-7—Kichwa: Watu wa Yehova ‘Hukataaje Ukosefu wa Uadilifu’? (th somo la 7)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 85

  • “Shirikiana na Wale Wanaompenda Yehova”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Jifunze Kukataa Mashirika Mabaya.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 78

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 126 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: w = Mnara wa Mlinzi​​—Toleo la Funzo; jy = Yesu​—Njia, Kweli, na Uzima; it = Insight On the Scriptures; lvs = Jinsi ya Kudumu Katika Upendo wa Mungu

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki