Agosti 12-18
TITO 1–FILEMONI
Wimbo 99 na Sala
Utangulizi (Usizidi dak. 3)
HAZINA ZA NENO LA MUNGU
“Waweke Rasmi Wazee”: (Dak. 10)
[Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Tito.]
Tit 1:5-9—Waangalizi wa mzunguko wanawaweka rasmi wanaume wanaotimiza matakwa ya Kimaandiko kuwa wazee (w14 11/15 28-29)
[Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Filemoni.]
Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)
Tit 1:12—Kwa nini andiko hili haliungi mkono ubaguzi? (w89 5/15 31 ¶5)
Flm 15, 16—Kwa nini Paulo hakumwomba Filemoni amwachilie huru Onesimo? (w08 10/15 31 ¶4)
Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?
Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?
Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Tit 3:1-15 (th somo la 5)
BORESHA HUDUMA YAKO
Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.
Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 3)
Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 12)
Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwachie mwenye-nyumba kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 11)
MAISHA YA MKRISTO
“Vijana—Iweni na ‘Bidii Katika Matendo Mema’”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Vijana Wanaomheshimu Yehova.
Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 79
Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)
Wimbo 127 na Sala