Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Agosti uku. 6
  • Agosti 19-25

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 19-25
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Agosti uku. 6

Agosti 19-25

WAEBRANIA 1-3

  • Wimbo 35 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Penda Uadilifu, Chukia Uasi Sheria”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Waebrania.]

    • Ebr 1:8—Yesu anatawala akiwa na “fimbo ya unyoofu” (w14 2/15 5 ¶8)

    • Ebr 1:9—Yesu anapenda uadilifu na kuchukia uasi sheria (w14 2/15 4-5 ¶7)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ebr 1:3—Je, sikuzote Yesu amemwiga Baba yake kwa kiwango kilekile? (it-1 1185 ¶1)

    • Ebr 1:10-12—Kwa nini mtume Paulo alitumia Zaburi 102:25-27 kumrejelea Yesu Kristo? (it-1 1063 ¶7)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ebr 1:1-14 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 4)

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mpe mwenye nyumba mwaliko wa kuhudhuria mikutano, kisha utoe utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? (lakini usionyeshe video) (th somo la 11)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 121

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 80

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 101 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki