Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Agosti uku. 7
  • Agosti 26–Septemba 1

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 26–Septemba 1
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Agosti uku. 7

Agosti 26–Septemba 1

WAEBRANIA 4-6

  • Wimbo 5 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Fanya Yote Unayoweza Ili Kuingia Katika Pumziko la Mungu”: (Dak. 10)

    • Ebr 4:1, 4—Tambua siku ya pumziko la Mungu (w11 7/15 24-25 ¶3-5)

    • Ebr 4:6—Mtii Yehova (w11 7/15 25 ¶6)

    • Ebr 4:9-11—Usiwe na mwelekeo wa kujitegemea (w11 7/15 28 ¶16-17)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ebr 4:12—Katika muktadha huu “neno la Mungu” ni nini? (w16.09 13)

    • Ebr 6:17, 18—“Mambo mawili yasiyobadilika” yanayotajwa katika mistari hii ni nini? (it-1 1139 ¶2)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ebr 5:1-14 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 6)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) lvs 228-229 ¶7-8 (th somo la 12)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 75

  • “Kazi Njema Ambazo Haziwezi Kusahauliwa”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Kujitolea kwa Ajili ya Utumishi wa Betheli.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 81

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 12 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki