Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Septemba uku. 3
  • Septemba 9-15

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 9-15
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Septemba uku. 3

Septemba 9-15

WAEBRANIA 9-10

  • Wimbo 10 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kivuli cha Mambo Mema Yatakayokuja”: (Dak. 10)

    • Ebr 9:12-14—Damu ya Kristo ni bora kuliko damu ya mbuzi na ng’ombe dume (it-1 862 ¶1)

    • Ebr 9:24-26—Kristo alipeleka thamani ya dhabihu yake mbele za Mungu mara moja kwa wakati wote (cf 183 ¶4)

    • Ebr 10:1-4—Sheria iliwakilisha jambo bora zaidi (it-2 602-603)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ebr 9:16, 17—Mistari hii inamaanisha nini? (w92 3/1 31 ¶4-6)

    • Ebr 10:5-7—Yesu alisema maneno hayo wakati gani, na yalimaanisha nini? (it-1 249-250)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ebr 9:1-14 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 2)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwachie kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 11)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 89

  • Je, Tunathamini Mikutano Yetu? (Zb 27:11): (Dak. 12) Onyesha video. Kisha mzungumzie maswali yafuatayo:

    • Tunanufaika na huduma zipi kutoka kwa Kuhani Mkuu, Yesu?

    • Tunaweza kuonyesha uthamini wetu katika njia zipi tatu?

  • Sikiliza Wakati wa Mikutano: (Dak. 3) Onyesha video. Kisha waombe watoto waeleze kwa nini wanahitaji kusikiliza kwa makini.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 83

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 108 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki