Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Septemba uku. 5
  • Septemba 23-29

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 23-29
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Septemba uku. 5

Septemba 23-29

WAEBRANIA 12-13

  • Wimbo 88 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Nidhamu—Uthibitisho wa Upendo wa Yehova”: (Dak. 10)

    • Ebr 12:5—Usikate tamaa unapotiwa nidhamu (w12 3/15 29 ¶18)

    • Ebr 12:6, 7—Yehova anawatia nidhamu wale anaowapenda (w12 7/1 21 ¶3)

    • Ebr 12:11—Ingawa nidhamu inaweza kuumiza, inatuzoeza (w18.03 32 ¶18)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ebr 12:1—Mfano wa ‘wingu kubwa la mashahidi’ unatutiaje moyo? (w11 9/15 17-18 ¶11)

    • Ebr 13:9—Mstari huu unamaanisha nini? (w89 12/15 22 ¶10)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ebr 12:1-17 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 2)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) lvs 39-40 ¶19 (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 115

  • Kuvumilia Licha ya . . . Kutokamilika Kwetu Wenyewe: (Dak. 5) Onyesha video. Kisha zungumzieni maswali yafuatayo:

    • Ndugu Cázares amekabili hali zipi ngumu tangu alipobatizwa?

    • Ametiwa nidhamu kwa njia zipi?

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 10)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 85

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 74 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki