Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Septemba uku. 6
  • Septemba 30–Oktoba 6

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 30–Oktoba 6
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Septemba uku. 6

Septemba 30–Oktoba 6

YAKOBO 1-2

  • Wimbo 122 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Njia Inayoongoza Kwenye Dhambi na Kifo”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Yakobo.]

    • Yak 1:14—Mawazo yasiyofaa yanaweza kuchochea tamaa zisizofaa kwa urahisi (g17.4 14)

    • Yak 1:15—Tamaa zisizofaa mara nyingi zinaweza kuongoza kwenye dhambi na kifo (g17.4 14)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Yak 1:17—Kwa nini Yehova anaitwa “Baba wa mianga ya mbinguni”? (it-2 253-254)

    • Yak 2:8—“Sheria ya kifalme” ni nini? (it-2 222 ¶4)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Yak 2:10-26 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kurudia ya Tatu: (Isizidi dak. 3) Chagua andiko lako mwenyewe. Mkaribishe mwenye-nyumba kwenye mikutano. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia ya Tatu: (Isizidi dak. 4) Chagua andiko lako mwenyewe. Toa chapisho la funzo. (th somo la 12)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) bhs 30 ¶4-5 (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 45

  • “Endelea Kuyafikiria Mambo Hayo”: (Dak. 8) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Epuka Mambo Yanayoharibu Ushikamanifu—Burudani Zisizofaa.

  • Wazazi—Watahadharisheni Vijana Wenu Kuhusu Kutuma Ujumbe Mchafu: (Dak. 7) Hotuba itolewe na mzee inayotegemea Amkeni! la Novemba 2013 ukurasa wa 4-5.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 86 ¶1-7

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 130 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki