Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Oktoba uku. 2
  • Oktoba 7-13

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 7-13
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Oktoba uku. 2

Oktoba 7-13

YAKOBO 3-5

  • Wimbo 50 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Onyesha Hekima Kutoka kwa Mungu”: (Dak. 10)

    • Yak 3:17—Hekima kutoka kwa Mungu ni safi na yenye kufanya amani (cl 221-222 ¶9-10)a

    • Yak 3:17—Hekima kutoka kwa Mungu ni yenye usawaziko, tayari kutii, na yenye kujaa rehema na matunda mema (cl 223-224 ¶12; 224-225 ¶14-15)

    • Yak 3:17—Hekima kutoka kwa Mungu haina ubaguzi na si ya kinafiki (cl 226-227 ¶18-19)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Yak 4:5—Ni andiko gani ambalo Yakobo ananukuu hapa? (w08 11/15 20 ¶6)

    • Yak 4:11, 12—Ni kwa njia gani yule “anayemsema vibaya ndugu” anasema “vibaya juu ya sheria”? (w97 11/15 20-21 ¶8)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Yak 3:1-18 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Ubadilifu wa Sauti, kisha mzungumzie somo la 10 la broshua Kufundisha.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) w10 9/1 23-24—Kichwa: Kwa nini tunapaswa kuungama dhambi zetu, na tunapaswa kuungama kwa nani? (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 53

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 86 ¶8-17

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 125 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: cl = Mkaribie Mungu; w = Mnara wa Mlinzi—Toleo la Funzo; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; lvs = Jinsi ya Kudumu Katika Upendo wa Mungu; it = Insight on the Scriptures; bhs = Biblia Inatufundisha Nini?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki