Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Oktoba uku. 3
  • Oktoba 14-20

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 14-20
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Oktoba uku. 3

Oktoba 14-20

1 PETRO 1-2

  • Wimbo 29 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Lazima Muwe Watakatifu”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa 1 Petro.]

    • 1Pe 1:14, 15—Ni lazima tamaa na mwenendo wetu uwe mtakatifu (w17.02 9 ¶5)

    • 1Pe 1:16—Tunajitahidi kumwiga Mungu wetu mtakatifu (lvs 77 ¶6)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • 1Pe 1:10-12—Tunawezaje kuwa na bidii kama manabii na malaika? (w08 11/15 21 ¶10)

    • 1Pe 2:25—Ni nani Mwangalizi Mkuu? (it-2 565 ¶3)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 1Pe 1:1-16 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwonyeshe chapisho kutoka kwenye Sanduku Letu la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 9)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 28

  • Uwe Rafiki ya Yehova—Uwe Safi na Nadhifu: (Dak. 6) Onyesha video. Kisha waalike jukwaani watoto uliowachagua mapema, na uwaulize maswali yafuatayo: Yehova alitengenezaje mahali kwa ajili ya kila kitu? Viboko hufanya nini ili miili yao iwe safi? Kwa nini unapaswa kusafisha chumba chako?

  • “Yehova Anawapenda Watu Safi”: (Dak. 9) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Mungu Anawapenda Watu Walio Safi.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 87

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 39 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki