Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Oktoba uku. 4
  • Oktoba 21-27

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 21-27
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Oktoba uku. 4

Oktoba 21-27

1 PETRO 3-5

  • Wimbo 14 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mwisho wa Mambo Yote Umekaribia”: (Dak. 10)

    • 1Pe 4:7—“Iweni na utimamu wa akili, na kukesha kuhusiana na sala” (w13 11/15 3 ¶1)

    • 1Pe 4:8—“Pendaneni sana” (w99 4/15 22 ¶3)

    • 1Pe 4:9—“Mkaribishane bila kunung’unika” (w18.03 14-15 ¶2-3)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • 1Pe 3:19, 20—Yesu aliwahubiria lini na jinsi gani “roho walio gerezani”? (w13 6/15 23)

    • 1Pe 4:6—Ni nani “wafu” ambao ‘walitangaziwa habari njema’? (w08 11/15 21 ¶8)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 1Pe 3:8-22 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 6)

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? (lakini usionyeshe video) halafu mzungumze kuihusu. (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 137

  • “Mwenendo Safi Kiadili na Heshima Kubwa Huvuta Watu”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Yehova Anatuimarisha Ili Tubebe Mzigo Wetu

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 88 ¶1-11

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 61 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki