Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Novemba uku. 2
  • Novemba 4-10

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 4-10
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Novemba uku. 2

Novemba 4-10

1 YOHANA 1-5

  • Wimbo 122 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Usiupende Ulimwengu au Vitu Vilivyo Katika Ulimwengu”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa 1 Yohana.]

    • 1Yo 2:15, 16—“Kila kitu katika ulimwengu . . . hutokana na ulimwengu,” hakitokani na Baba (w05 1/1 10 ¶13)a

    • 1Yo 2:17—Ulimwengu unapitilia mbali na pia tamaa yake (w13 8/15 27 ¶18)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • 1Yo 2:7, 8—Ni katika maana gani sheria ambayo Yohana anarejelea ni ya zamani na mpya? (w13 9/15 10 ¶14)

    • 1Yo 5:16, 17—Ni “dhambi [gani] ambayo huleta kifo”? (it-1 862 ¶5)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 1Yo 1:1–2:6 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Shauku, kisha mzungumzie somo la 11 la broshua Kufundisha.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) w04 10/1 29—Kichwa: Yohana alimaanisha nini aliposema kwenye 1 Yohana 4:18 “upendo mkamilifu hutupa woga nje”? (th somo la 7)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 132

  • “Epuka Uvutano wa Ulimwengu Unapopanga Harusi”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Harusi Zinazomletea Yehova Heshima.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 89

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 118 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: w = Mnara wa Mlinzi—Toleo la Funzo; it = Insight on the Scriptures; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; wp = Mnara wa Mlinzi—Toleo la Watu Wote; kr = Ufalme wa Mungu Unatawala; re = Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu; cf = Njoo Uwe Mfuasi Wangu; lvs = Jinsi ya Kudumu Katika Upendo wa Mungu

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki