Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Novemba uku. 5
  • Novemba 18-24

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 18-24
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Novemba uku. 5

Novemba 18-24

UFUNUO 1-3

  • Wimbo 15 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ninayajua Matendo Yako”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Ufunuo.]

    • Ufu 1:20—Yesu anayaongoza kikamili mabaraza ya wazee (w12 10/15 14 ¶8)

    • Ufu 2:1, 2—Yesu anajua mambo yanayotokea katika kila kutaniko (w12 4/15 29 ¶11; w01 1/15 20-21 ¶20)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ufu 1:7—Ni kwa njia gani kila jicho litamwona Yesu ‘akija na mawingu,’ na hilo litatukia wakati gani? (kr 226 ¶10)

    • Ufu 2:7—Kula kutokana na “mti wa uzima, ulio katika paradiso ya Mungu” kunamaanisha nini? (w09 1/15 31 ¶1)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ufu 1:1-11 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 2)

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? (lakini usionyeshe video) (th somo la 3)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 4

  • “Yehova Anajua Mahitaji Yetu”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Ripoti ya Mwaka wa 2017 ya Halmashauri ya Ufundishaji.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 91

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 151 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki