Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Desemba uku. 2
  • Desemba 2-8

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 2-8
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Desemba uku. 2

Desemba 2-8

UFUNUO 7-9

  • Wimbo 63 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Umati Mkubwa Usioweza Kuhesabiwa Utabarikiwa na Yehova”: (Dak. 10)

    • Ufu 7:9—“Umati mkubwa” unasimama mbele ya kiti cha ufalme cha Yehova (it-1 997 ¶1)a

    • Ufu 7:14—Umati mkubwa utaokoka “dhiki kuu”(it-2 1127 ¶4)

    • Ufu 7:15-17—Umati mkubwa utapata baraka wakati ujao duniani (it-1 996-997)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ufu 7:1—“Pepo nne” na “malaika wanne [waliosimama] juu ya pembe nne za dunia” wanawakilisha nini?” (re 115 ¶4)

    • Ufu 9:11—“Malaika wa shimo refu lisilo na mwisho” ni nani? (it-1 12)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ufu 7:1-12 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Kuzungumza kwa Hisia, kisha mzungumzie somo la 12 la broshua Kufundisha.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) w16.01 25-26 ¶12-16—Kichwa: Kwa nini hatupaswi kutatanishwa na ongezeko la idadi ya wale wanaokula mkate na kunywa divai wakati wa Ukumbusho? (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 93

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 8)

  • Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo: (Dak. 7) Onyesha video ya Desemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 93

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 27 na Sala

a Ufupisho wa machapisho: it=Insight on the Scriptures; re=Ufunuo Upeo Wao Mtukufu; w=Mnara wa Mlinzi—Toleo la Funzo; jy=Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; jl=Ni Nani Wanaofanya Mapenzi ya Yehova Leo

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki