Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Desemba uku. 3
  • Desemba 9-15

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 9-15
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Desemba uku. 3

Desemba 9-15

UFUNUO 10-12

  • Wimbo 26 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “‘Mashahidi Wawili’ Wauawa na Kufufuliwa”: (Dak. 10)

    • Ufu 11:3—‘Mashahidi wawili’ watoa unabii kwa siku 1,260 (w14 11/15 30)

    • Ufu 11:7—Wauawa na yule “mnyama wa mwituni”

    • Ufu 11:11—Wale ‘mashahidi wawili’ wafanywa kuwa hai baada ya “siku tatu na nusu”

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ufu 10:9, 10—Ujumbe aliopewa Yohana ulikuwaje ‘mchungu’ na ‘mtamu’? (it-2 880-881)

    • Ufu 12:1-5—Mistari hii ilitimizwaje? (it-2 187 ¶7-9)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ufu 10:1-11 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 6)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo yasiyo rasmi ambayo yanafaa katika eneo lenu. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa chapisho kutoka kwenye Sanduku Letu la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 9)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 148

  • “Dunia ‘Ilimeza Mto’”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Ndugu Nchini Korea Waachiliwa Kutoka Gerezani.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 94

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 47 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki