Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Desemba uku. 6
  • Desemba 30, 2019–Januari 5, 2020

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 30, 2019–Januari 5, 2020
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Desemba uku. 6

Desemba 30, 2019–Januari 5, 2020

UFUNUO 20-22

  • Wimbo 146 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Tazama! Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya”: (Dak. 10)

    • Ufu 21:1—“Mbingu ya kwanza na dunia ya kwanza zilikuwa zimepitilia mbali” (re 301 ¶2)

    • Ufu 21:3, 4—“Mambo ya zamani yamepitilia mbali” (w13 12/1 11 ¶2-4)

    • Ufu 21:5—Ahadi ya Yehova inategemeka (w03 8/1 12 ¶14)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ufu 20:5—Ni katika maana gani “wale wafu wengine” watakuwa hai mwishoni mwa ile miaka 1,000? (it-2 249 ¶2)

    • Ufu 20:14, 15—“Ziwa la moto” ni nini? (it-2 189-190)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ufu 20:1-15 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kurudia ya Tatu: (Isizidi dak. 3) Chagua andiko lako mwenyewe, na umwachie mwenye-nyumba mwaliko wa kuhudhuria mikutano. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia ya Tatu: (Isizidi dak. 4) Chagua andiko lako mwenyewe, na utoe chapisho la funzo. (th somo la 9)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) jl somo la 12 (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 57

  • “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Kubadilikana Kulingana na Hali”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 97

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 80 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki