Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Februari uku. 2
  • Februari 3-9

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 3-9
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Februari uku. 2

Februari 3-9

MWANZO 12-14

  • Wimbo 14 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Agano Linalokuhusu”: (Dak. 10)

    • Mwa 12:1, 2—Yehova aliahidi kumbariki Abramu (Abrahamu) (it-1 522 ¶4)a

    • Mwa 12:3—“Familia zote duniani hakika zitabarikiwa kupitia [kwa Abrahamu]” (w89 7/1 3 ¶4)

    • Mwa 13:14-17—Yehova alimwonyesha Abrahamu nchi ambayo wazao wake wangemiliki (it-2 213 ¶3)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Mwa 13:8, 9—Tunaweza kumwigaje Abrahamu kuhusiana na kutatua mizozo? (w16.05 5 ¶12)

    • Mwa 14:18-20—Ni kwa njia gani Lawi alilipa “sehemu za kumi kupitia Abrahamu”? (Ebr 7:4-10; it-2 683 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mwa 12:1-20 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Kukazia Mambo Makuu, kisha mzungumzie somo la 14 la broshua Kufundisha.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) w12 1/1 8—Kichwa: Ni Nini Kilichomfanya Sara Awe Mwenye Thamani Sana? (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 144

  • “Unajifunza Nini Kutokana na Nyimbo Zilizotungwa?”: (Dak. 10) Mazungumzo. Cheza wimbo uliotungwa wenye kichwa Paradiso Iko Karibu Sana.

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 5)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 102

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 15 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: bhs = Biblia Inatufundisha Nini; fg = Habari Njema Kutoka kwa Mungu; w = Mnara wa Mlinzi—Toleo la Funzo; it = Insight on the Scriptures; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; g = Amkeni!; wp = Mnara wa Mlinzi—Toleo la Watu Wote

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki