Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Februari uku. 4
  • Februari 10-16

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 10-16
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Februari uku. 4

Februari 10-16

MWANZO 15-17

  • Wimbo 39 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kwa Nini Yehova Alibadilisha Majina ya Abramu na Sarai?”: (Dak. 10)

    • Mwa 17:1—Ingawa hakuwa mkamilifu, Abramu alijithibitisha kuwa bila kosa (it-1 817)

    • Mwa 17:3-5—Jina la Abramu lilibadilishwa na kuwa Abrahamu (it-1 31 ¶1)

    • Mwa 17:15, 16—Jina la Sarai lilibadilishwa na kuwa Sara (w09 2/1 13)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Mwa 15:13, 14—Miaka 400 ya kuteseka ilianza na kwisha lini? (it-1 460-461)

    • Mwa 15:16—“Kizazi cha nne” cha Abrahamu kilirudije Kanaani? (it-1 778 ¶4)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mwa 15:1-21 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Mazungumzo. Onyesha video, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yafuatayo: Mhubiri alitumiaje maswali kwa njia yenye matokeo? Alitumiaje mfano ili kufundisha?

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha utoe broshua Habari Njema, na uanzishe funzo la Biblia ukitumia somo la 3. (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 131

  • “Jinsi Wenzi wa Ndoa Wanavyoweza Kuimarisha Ndoa Yao”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Jinsi ya Kuimarisha Kifungo cha Ndoa.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 103

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 92 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki