Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Machi uku. 5
  • Machi 23-29

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 23-29
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Machi uku. 5

Machi 23-29

MWANZO 27-28

  • Wimbo 10 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yakobo Apata Baraka Aliyostahili”: (Dak. 10)

    • Mwa 27:6-10—Rebeka alimsaidia Yakobo kupata baraka aliyostahili (w04 4/15 11 ¶4-5)

    • Mwa 27:18, 19—Yakobo alimfanya baba yake afikiri kwamba yeye ni Esau (w07 10/1 31 ¶2-3)

    • Mwa 27:27-29—Isaka alimpa Yakobo baraka za mzaliwa wa kwanza (it-1 341 ¶6)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Mwa 27:46–28:2—Wenzi wa ndoa wanaweza kujifunza nini kutokana na simulizi hili? (w06 4/15 6 ¶3-4)

    • Mwa 28:12, 13—Ndoto ya Yakobo iliyohusisha “ngazi” ilimaanisha nini? (w04 1/15 28 ¶6)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mwa 27:1-23 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yafuatayo: Mhubiri alionyeshaje kwamba alikuwa akimsikiliza mwenye-nyumba anapotoa maoni yake? Mhubiri alitumiaje Sanduku la Vifaa vya Kufundishia kwa njia inayofaa?

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia mapendekezo ya kuanzisha mazungumzo. (th somo la 6)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) jl somo la 17 (th somo la 11)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 34

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 109

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 28 na sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki