Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Mei uku. 2
  • Mei 4-10

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 4-10
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Mei uku. 2

MEI 4-10

MWANZO 36-37

  • Wimbo 114 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ndugu za Yosefu Wamwonea Wivu”: (Dak. 10)

    • Mwa 37:3, 4—Ndugu za Yosefu walimchukia kwa sababu baba yake alimpenda kuliko wengine wote (w14 8/1 12-13)a

    • Mwa 37:5-9, 11—Ndoto za Yosefu ziliwapa ndugu zake sababu zaidi za kumwonea wivu (w14 8/1 13 ¶2-4)

    • Mwa 37:23, 24, 28—Wivu wa ndugu za Yosefu uliwafanya wamtendee ndugu yao kikatili

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Mwa 36:1—Kwa nini Esau alipewa jina la pili Edomu? (it-1 678)

    • Mwa 37:29-32—Kwa nini ndugu za Yosefu walimwonyesha Yakobo joho la Yosefu lililoraruka ambalo lilikuwa na damu? (it-1 561-562)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak.4 ) Mwa 36:1-19 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha: (Dak 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Habari Inayoeleweka, kisha mzungumzie th somo la 17 la broshua Kufundisha.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) w02 10/15 30-31​—Kichwa: Kwa Nini Wakristo Wanapaswa Kuwa na Wivu wa Kimungu? (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 126

  • “Je, Umejitayarisha?” (Dak. 15) Mazungumzo yakiongozwa na mzee. Onyesha video yenye kichwa Je, Umejitayarisha Kukabiliana na Majanga ya Asili? Tia ndani vikumbusho kutoka kwa ofisi ya tawi na kutoka kwa baraza la wazee, ikiwa vipo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 113

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 84 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: bhs = Biblia Inatufundisha Nini?; w = Mnara wa Mlinzi; it = Insight on the Scriptures; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; g = Amkeni!; th = Kufundisha; lvs = Jinsi ya Kudumu Katika Upendo wa Mungu

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki