Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Julai uku. 4
  • Julai 20-26

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 20-26
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Julai uku. 4

Julai 20-26

KUTOKA 10-11

  • Wimbo 65 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Musa na Haruni Waonyesha Ujasiri Mkubwa”: (Dak. 10)

    • Kut 10:3-6—Musa na Haruni walimtangazia Farao pigo la nane kwa ujasiri (w09 7/15 20 ¶6)

    • Kut 10:24-26—Musa na Haruni hawakuogopeshwa na Farao na hivyo kulegeza msimamo

    • Kut 10:28; 11:4-8—Musa na Haruni walitangaza pigo la kumi bila woga (it-2 436 ¶4)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kut 10:1, 2—Wazazi wanaweza kujifunza nini kutokana na mistari hii? (w95 9/1 11 ¶11)

    • Kut 11:7—Yehova alimaanisha nini aliposema kwamba “hakuna hata mbwa atakayewabwekea Waisraeli”? (it-1 783 ¶5)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Kut 10:1-15 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha waulize wasikilizaji: Ulijifunza nini kutokana na jinsi mhubiri alivyomsadikisha mwenye-nyumba? Mhubiri angetoaje chapisho kutoka katika Sanduku la Vifaa vya Kufundishia?

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwalike mwenye-nyumba kwenye mkutano. (th somo la 8)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 12)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 55

  • “Uumbaji Unatufundisha Nini Kuhusu Ujasiri?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Jifunze Ujasiri Kutoka kwa Uumbaji.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 124

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 113 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki