Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Septemba uku. 5
  • Septemba 21-27

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 21-27
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Septemba uku. 5

Septemba 21-27

KUTOKA 27-28

  • Wimbo 25 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Tunajifunza Nini Kutokana na Mavazi ya Makuhani?”: (Dak. 10)

    • Kut 28:30​—Tunapaswa kutafuta mwongozo wa Yehova (it-2 1143)

    • Kut 28:36​—Tunapaswa kudumisha utakatifu (it-1 849 ¶3)

    • Kut 28:42, 43​—Tunapaswa kuwa na heshima tunapomwabudu Mungu (w08 8/15 15 ¶17)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kut 28:15-21​—Huenda mawe yenye thamani yaliyokuwa kwenye kifuko cha kifuani cha kuhani mkuu wa Israeli yalitoka wapi? (w12 8/1 26 ¶1-3)

    • Kut 28:38​—“Vitu vitakatifu” vilikuwa nini? (it-1 1130 ¶2)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Kut 27:1-21 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwachie kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 2)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) lvs 111 ¶20-21 (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 57

  • “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma​—Kuhubiri Katika Maeneo Yenye Ulinzi Mkali”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha na uzungumzie video ya 1, kisha uonyeshe na kuzungumzia video ya 2.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Lisizidi dak. 30) jy sura ya 133

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 46 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki