Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Oktoba uku. 2
  • Oktoba 5-11

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 5-11
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Oktoba uku. 2

Oktoba 5-11

KUTOKA 31-32

  • Wimbo 45 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ikimbieni Ibada ya Sanamu”: (Dak. 10)

    • Kut 32:1—Kuwa na matatizo si sababu ya kuabudu miungu mingine (w09 5/15 11 ¶11)

    • Kut 32:4-6—Waisraeli walichanganya ibada ya kweli na ya uwongo (w12 10/15 25 ¶12)

    • Kut 32:9, 10—Hasira ya Yehova iliwaka dhidi ya Waisraeli (w18.07 20 ¶14)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kut 31:17—Ni katika maana gani Yehova alipumzika katika siku ya saba ya uumbaji? (w19.12 3 ¶4)

    • Kut 32:32, 33—Tunajuaje kwamba fundisho la kwamba “ukiokolewa, umeokolewa milele” ni fundisho la uwongo? (w87 9/1 29)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Kut 32:15-35 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Mazungumzo. Onyesha video kisha waulize wasikilizaji maswali yafuatayo: Brandi alitumiaje maswali kwa njia nzuri? Aliwekaje msingi wa ziara inayofuata?

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 4) Anza kwa pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? na uizungumzie (lakini usionyeshe video). (th somo la 9)

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) w10 5/15 21—Kichwa: Kwa Nini Yehova Hakumwadhibu Haruni Alipotengeneza Ndama wa Dhahabu? (th somo la 7)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 36

  • “Thamini Uhusiano Wako na Yehova”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Linda Uhusiano Wako Pamoja na Yehova (Kol 3:5).

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 135

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 90 na Sala

Ufupisho wa Machapisho: fg = Habari Njema Kutoka kwa Mungu; bhs = Biblia Inatufundisha Nini?; w = Mnara wa Mlinzi; jy = Yesu​—​Njia, Kweli, na Uzima; it = Insight on the Scriptures

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki