Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Oktoba uku. 6
  • Oktoba 19-25

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 19-25
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Oktoba uku. 6

Oktoba 19-25

KUTOKA 35-36

  • Wimbo 92 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Tumepewa Uwezo wa Kufanya Kazi ya Yehova”: (Dak. 10)

    • Kut 35:25, 26—Yehova alibariki roho ya kujitolea ya watu wake (w14 12/15 4 ¶4)

    • Kut 35:30-35—Roho takatifu iliwasaidia Bezaleli na Oholiabu kufanya “kazi za kila aina” (w11 12/15 18 ¶6)

    • Kut 36:1, 2—Yehova alistahili kupewa sifa kwa kazi yao (w11 12/15 19 ¶7)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kut 35:1-3—Tunaweza kujifunza nini kutokana na sheria ya Sabato? (w05 5/15 23 ¶14)

    • Kut 35:21—Kwa nini roho ya ukarimu ya Waisraeli ni mfano mzuri kwetu? (w00 11/1 29 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Kut 35:1-24 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 11)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwelekeze mwenye-nyumba kwenye tovuti yetu, na umwachie kadi ya mawasiliano. (th somo la 4)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) bhs 26 ¶18-20 (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 68

  • Ripoti ya Halmashauri ya Utangazaji ya 2018: (Dak. 15) Onyesha video hiyo. Kisha waulize wasikilizaji: Tengenezo letu limefanya mabadiliko gani katika kazi ya uchapishaji, na kwa nini? Mabadiliko katika uchapishaji yamesaidia utendaji gani mwingine uwezekane? Utafsiri unatimiza fungu gani muhimu katika kutokeza chakula cha kiroho? Ni baraka zipi ambazo zimepatikana kutokana na kutokeza machapisho ya kielektroni na video?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 137

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 69 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki