Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Oktoba uku. 7
  • Oktoba 26–Novemba 1

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 26–Novemba 1
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Oktoba uku. 7

Oktoba 26–Novemba 1

KUTOKA 37-38

  • Wimbo 43 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Madhabahu Katika Hema la Ibada na Fungu Lake Katika Ibada ya Kweli”: (Dak. 10)

    • Kut 37:25—Madhabahu ya kufukizia uvumba ilikuwa katika Patakatifu (it-1 82 ¶3)

    • Kut 37:29—Uvumba huo mtakatifu ulichanganywa kwa ustadi (it-1 1195)

    • Kut 38:1—Madhabahu ya dhabihu za kuteketezwa ilikuwa katika ua (it-1 82 ¶1)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kut 37:1, 10, 25—Kwa nini mbao za mshita zilifaa katika ujenzi wa hema la ibada? (it-1 36)

    • Kut 38:8—Vioo vya kale vilitofautianaje na vioo vinavyotumiwa leo? (w15 4/1 15 ¶4)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Kut 37:1-24 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa gazeti la karibuni ili kushughulikia swali ambalo mwenye-nyumba ametokeza. (th somo la 12)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) bhs 199 ¶8-9 (th somo la 7)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 67

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 5)

  • “Kampeni ya Pekee ya Mwezi Novemba ya Kutangaza Ufalme wa Mungu”: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video ya ziara ya kwanza ya Novemba kisha mwizungumzie.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 138

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 22 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki