Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Novemba uku. 5
  • Novemba 23-29

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 23-29
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Novemba uku. 5

Novemba 23-29

MAMBO YA WALAWI 6-7

  • Wimbo 46 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Wonyesho wa Shukrani”: (Dak. 10)

    • Law 7:11, 12—Aina moja ya dhabihu ya ushirika ilikuwa wonyesho wa hiari wa shukrani (w19.11 22 ¶9)

    • Law 7:13-15—Kwa njia ya mfano, mtu aliyetoa dhabihu ya ushirika pamoja na familia yake walikuwa wakila pamoja na Yehova, na hilo lilionyesha uhusiano wenye amani (w00 8/15 15 ¶15)

    • Law 7:20—Wale waliokuwa safi ndio tu ambao wangeweza kutoa dhabihu ya ushirika iliyokubalika (w00 8/15 19 ¶8)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Law 6:13—Wayahudi walikuwa na maoni gani kuhusu chanzo cha moto uliokuwa juu ya madhabahu, lakini Maandiko yanaonyesha nini? (it-1 833 ¶1)

    • Law 6:25—Dhabihu za dhambi zilitofautianaje na dhabihu za kuteketezwa na dhabihu za ushirika? (si 27 ¶15)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Law 6:1-18 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha taja jambo hususa katika toleo la watu wote la Mnara wa Mlinzi Na. 2 2020, na utoe gazeti hilo. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwelekeze mwenye-nyumba kwenye tovuti yetu, na utoe kadi ya mwaliko ya jw.org. (th somo la 11)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) bhs 178-179 ¶12-13 (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 18

  • Uwe Rafiki ya Yehova—Onyesha Uthamini: (Dak. 5) Onyesha video. Kisha waalike jukwaani watoto walioteuliwa mapema na uwaulize maswali kuhusu video hiyo.

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 10)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Lisizidi dak. 30) rr sura ya 1 ¶1-7, video ya utangulizia

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 37 na Sala

a Habari inapotia ndani video ya utangulizi, video hiyo inapaswa kuonyeshwa kabla ya mafungu kuzungumziwa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki