Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Desemba uku. 4
  • Desemba 14-20

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 14-20
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Desemba uku. 4

Desemba 14-20

MAMBO YA WALAWI 12-13

  • Wimbo 140 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jifunze Kutokana na Sheria Kuhusu Ukoma”: (Dak. 10)

    • Law 13:4, 5—Watu waliokuwa na ukoma walipaswa kutengwa (wp18.1 7)

    • Law 13:45, 46—Watu wenye ukoma walipaswa kuepuka kuwaambukiza wengine (wp16.4 9 ¶1)

    • Law 13:52, 57—Vitu vilivyoambukizwa vilipaswa kuharibiwa (it-2 238 ¶3)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Law 12:2, 5—Kwa nini kuzaa kulimfanya mwanamke ‘awe asiye safi’? (w04 5/15 23 ¶2)

    • Law 12:3—Kwa nini huenda Yehova aliagiza kutahiriwa kufanywe siku ya nane? (wp18.1 7)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Law 13:9-28 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Mazungumzo. Onyesha video, kisha waulize wasikilizaji maswali yafuatayo: Tony alitumiaje maswali kwa njia inayofaa? Alionyeshaje waziwazi matumizi ya andiko?

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida. (th somo la 19)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa utangulizi wa broshua Habari Njema, na uanzishe funzo la Biblia katika somo la 11. (th somo la 9)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 125

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Lisizidi dak. 30) rr sura ya 2 ¶1-9, video ya utangulizi

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 28 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki