Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Desemba uku. 5
  • Desemba 21-27

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 21-27
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Desemba uku. 5

Desemba 21-27

MAMBO YA WALAWI 14-15

  • Wimbo 122 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Usafi Ni Takwa Katika Ibada Safi”: (Dak. 10)

    • Law 15:13-15—Wanaume walipaswa kujitakasa kutokana na uchafu wao (it-1 263)

    • Law 15:28-30—Wanawake walipaswa kujitakasa kutokana na uchafu wao (it-2 372 ¶2)

    • Law 15:31—Yehova anatazamia ibada safi kutoka kwa watu wake (it-1 1133)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Law 14:14, 17, 25, 28—Tunajifunza nini kutokana na utaratibu wa kumtakasa mtu aliyekuwa na ukoma? (it-1 665 ¶5)

    • Law 14:43-45—Sheria kuhusu nyumba iliyokuwa na ukoma hatari iliwafundisha nini Waisraeli kumhusu Yehova? (g 1/06 14, sanduku)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Law 14:1-18 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mtolee mwenye nyumba gazeti linalojibu swali alilouliza. (th somo la 16)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Mashahidi wa Yehova Ni Nani? na uizungumzie (lakini usionyeshe video) (th somo la 11)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) fg somo la 11 ¶6-7 (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 76

  • “Endelea Kutumia Magazeti”: (Dak. 10) Mazungumzo.

  • Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo: (Dak. 5) Onyesha video ya Desemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Lisizidi dak. 30) rr  sura ya 2 ¶10-18

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 118 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki