Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 4
  • Machi 15-21

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 15-21
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 4

Machi 15-21

HESABU 11-12

  • Wimbo 46 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kwa Nini Uepuke Roho ya Kulalamika?”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Hes 11:7, 8—Wema wa Yehova ulionekanaje kupitia mwonekano na ladha ya mana? (it-2 309)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Hes 11:1-15 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Mwaliko wa Ukumbusho: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwenye nyumba anapopendezwa, toa utangulizi wa video Kumbuka Kifo cha Yesu kisha uizungumzie (lakini usionyeshe video). (th somo la 11)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Mfanyie ziara ya kurudia mtu aliyeonyesha upendezi na kukubali mwaliko wa Ukumbusho. (th somo la 4)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Baada tu ya hotuba ya Ukumbusho, anzisha mazungumzo na mtu anayependezwa aliyehudhuria na ujibu swali ambalo anauliza kuhusu programu hiyo. (th  somo la 2)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 19

  • “Je, Unajitayarisha kwa Ajili ya Ukumbusho?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Toa matangazo muhimu kuhusu mipango ya Ukumbusho. Onyesha video Jinsi ya Kutengeneza Mkate wa Ukumbusho.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 6 ¶7-13, sanduku 6A

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 70 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki