Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 6
  • Machi 22-28

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 22-28
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 6

Machi 22-28

HESABU 13-14

  • Wimbo 118 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jinsi Imani Inavyotufanya Tuwe Jasiri”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Hes 13:27—Ni nini ambacho wapelelezi waliripoti kilichopaswa kuimarisha imani ya Waisraeli katika Yehova? (Law 20:24; it-1 740)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Hes 13:1-20 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Hotuba: (Dak. 5) w15 9/15 14-16 ¶8-12—Kichwa: Maswali Tunayoweza Kutumia Kuchunguza Imani Yetu. (th somo la 14)

  • “Ongeza Shangwe Yako Katika Huduma—Uliza Maswali”: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video Pata Shangwe ya Kufanya Wanafunzi—Boresha Ustadi Wako—Kuuliza Maswali.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 73

  • Wakristo wa Kweli Wanahitaji Ujasiri—Ili Kuhubiri: (Dak. 8) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha waulize wasikilizaji: Kitty Kelly alikabili changamoto zipi? Ni nini kilichomsaidia kuwa na ujasiri? Alipata baraka gani kwa kuwa na ujasiri?

  • Wakristo wa Kweli Wanahitaji Ujasiri—Ili Wasiunge Mkono Upande Wowote: (Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha waulize wasikilizaji: Ayenge Nsilu alikabili changamoto zipi? Alifanya nini ili aendelee kuwa jasiri? Alielewa jambo gani ambalo lilimsaidia kumtegemea Yehova?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 6 ¶14-19

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 143 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki