Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 8
  • Machi 29–Aprili 4

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 29–Aprili 4
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 8

Machi 29–Aprili 4

HESABU 15-16

  • Wimbo 101 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jihadhari Dhidi ya Kiburi na Kujiamini Kupita Kiasi”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Hes 15:32-35—Simulizi hili linatufundisha somo gani? (w98 9/1 20 ¶1-2)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Hes 15:1-16 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Ziara ya Kwanza: Yesu—Mt 16:16. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

  • Hotuba: (Dak. 5) w15 5/15 15 ¶5-6—Kichwa: Kuna Tofauti Gani Kati ya Kujivunia Mambo Yanayofaa na Kuwa na Kiburi? (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 124

  • “Usiwaige Wasio Washikamanifu”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Usiwaige Wasio Washikamanifu.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 7 ¶1-7, video ya utangulizi

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 126 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki