Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 10
  • Aprili 5-11

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 5-11
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 10

Aprili 5-11

HESABU 17-19

  • Wimbo 80 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mimi Ni . . . Urithi Wako”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Hes 18:19—Ni nini maana ya maneno “agano la chumvi linalodumu”? (g02 6/8 14 ¶2)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Hes 18:1-13 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Mazungumzo. Onyesha video Ziara ya Kurudia: Yesu​—Mt 20:28. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa utangulizi wa chapisho lililo kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 6)

  • Hotuba: (Dak. 5) w18.01 18 ¶4-6—Kichwa: Kwa Nini Tunampa Yehova Vitu Vyetu? (th somo la 20)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 117

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 7 ¶8-15, sanduku 7A

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 7 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki