Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Mei uku. 4
  • Mei 17-23

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 17-23
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Mei uku. 4

Mei 17-23

HESABU 32-33

  • Wimbo 142 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Wafukuze Wakaaji Wote wa Nchi”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Hes 33:54—Ardhi iligawanywa kwa njia gani katika makabila ya Waisraeli? (it-1 359 ¶2)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Hes 32:28-42 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • “Ongeza Shangwe Yako Katika Huduma​—Tumia Mifano Kufafanua Mambo Makuu”: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video Pata Shangwe ya Kufanya Wanafunzi—Boresha Ustadi Wako—Kutumia Mifano Kufafanua Mambo Makuu.

  • Hotuba: (Dak. 5) w09 10/1 30, sanduku​—Kichwa: Kwa Nini Yehova Alibariki Vita Katika Israeli la Kale? (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 58

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 8 ¶23-27, sanduku 8B

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 107 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki