Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Mei uku. 6
  • Mei 24-30

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 24-30
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Mei uku. 6

Mei 24-30

HESABU 34-36

  • Wimbo 33 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mfanye Yehova Awe Kimbilio Lako”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Hes 35:31—Kwa nini Adamu na Hawa hawatanufaika na dhabihu ya fidia ya Yesu? (w91 2/15 13 ¶13)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Hes 34:1-15 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 12)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? (lakini usionyeshe video). (th somo la 9)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) fg somo la 2 ¶9-10 (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 88

  • Uwe Rafiki ya Yehova—Nidhamu Ni Upendo: (Dak. 6) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha, ikiwezekana waulize watoto uliowachagua mapema maswali yafuatayo: Kwa nini nyakati nyingine unahitaji kutiwa nidhamu? Nidhamu ina faida gani kwako? Kwa nini Yehova hututia nidhamu?

  • “Nidhamu—Wonyesho wa Upendo wa Yehova”: (Dak. 9) Mazungumzo. Onyesha video “Yehova Huwatia Nidhamu Wale Anaowapenda”.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya  9 ¶1-9, video ya utangulizi

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 93 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki