Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Mei uku. 8
  • Mei 31–Juni 6

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 31–Juni 6
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Mei uku. 8

Mei 31–Juni 6

KUMBUKUMBU LA TORATI 1-2

  • Wimbo 125 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Hukumu Ni ya Mungu”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kum 1:19; 2:7—Yehova aliwatunzaje watu wake wakati wa safari yao ya miaka 40 katika ile nyika “kubwa na yenye kutisha”? (w13 9/15 9 ¶9)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Kum 1:1-18 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 16)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mpe mwenye nyumba mwaliko wa kuhudhuria mkutano, na utoe utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? (lakini usionyeshe video). (th somo la 11)

  • Hotuba: (Dak. 5) w13 8/15 11 ¶7—Kichwa: Epuka Kusema au Kusikiliza Maneno Yasiyofaa. (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 30

  • “Endelea Kuwa Tayari Katika Sehemu ya Mwisho ya ‘Siku za Mwisho’”: (Dak. 15) Mazungumzo yakiongozwa na mzee. Onyesha video Je, Umejitayarisha Kukabiliana na Majanga ya Asili?. Tia ndani vikumbusho kutoka kwa ofisi ya tawi na kutoka kwa baraza la wazee, ikiwa vipo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 9 ¶10-17

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 64 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki