Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Julai uku. 2
  • Julai 5-11

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 5-11
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Julai uku. 2

Julai 5-11

KUMBUKUMBU LA TORATI 11-12

  • Wimbo 40 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jinsi Yehova Anavyotaka Kuabudiwa”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kum 11:29—Huenda mstari huu ulitimizwa kwa njia gani? (it-1 925-926)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Kum 11:1-12 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • “Ongeza Shangwe Yako Katika Huduma—Onyesha Hisia-Mwenzi”: (Dak. 8) Mazungumzo. Onyesha video Pata Shangwe ya Kufanya Wanafunzi—Boresha Ustadi Wako—Onyesha Hisia-Mwenzi.

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Mazungumzo. Onyesha video Ziara ya Kwanza: Kuteseka—Yak 1:13. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 103

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 10 ¶8-12, sanduku 10A

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 72 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki