Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Julai uku. 4
  • Julai 12-18

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 12-18
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Julai uku. 4

Julai 12-18

KUMBUKUMBU LA TORATI 13-15

  • Wimbo 38 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jinsi Sheria Ilivyothibitisha Yehova Anawajali Maskini”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kum 14:21—Tunaweza kujifunza nini kutokana na amri iliyosema Waisraeli wasimtokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake? (w06 4/1 31)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Kum 13:1-18 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video Ziara ya Kurudia: Kuteseka —1Yo 5:19. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 6)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 11)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 7

  • “Msihangaike”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Upendo Haushindwi Kamwe Licha ya . . . Umaskini—Kongo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 10 ¶13-17, sanduku 10B na 10C

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 71 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki